HARUSI YA PETER & SUZY ILIVYOBAMBA MOKANE HALL AT KIJICHI DAR SEPT 1 2018
Bibi Harusi, Suzy akimvisha pete ya ndoa mumewe Peter wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa la KKKT lililopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, Septemba 1 mwaka huu.Sherehe ya ilifanyika katika Ukumbi wa Mokane uliopo Kijichi.
Bi Harusi akipozi na Matron wake baada ya kumaliza kurembwa katika Saluni ya Natalia Saloon iliyopo Mwananyamala Dar
Bi Harusi katika pozi
Peter & Suzy katika pozi
Bi haruzi akipozi na wasimamizi wake
Bw.harusi akipozi na wasimamizi wake












Comments
Post a Comment