Posts

Showing posts from September, 2018

HARUSI YA PETER & SUZY ILIVYOBAMBA MOKANE HALL AT KIJICHI DAR SEPT 1 2018

Image
 Bibi Harusi, Suzy akimvisha pete ya ndoa mumewe Peter wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa la KKKT lililopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, Septemba 1 mwaka huu.Sherehe ya ilifanyika katika Ukumbi wa Mokane uliopo Kijichi.  Mpiga picha wa kampuni ya Mafoto Media Hamis Msekwa akiwa kazini katika kuitendea haki sherehe hiyo  Bi Harusi akipozi na Matron wake baada ya kumaliza kurembwa katika Saluni ya Natalia Saloon iliyopo Mwananyamala Dar  Bi Harusi katika pozi   Peter & Suzy katika pozi  Bi haruzi akipozi na wasimamizi wake  Bw.harusi akipozi na wasimamizi wake