HARUSI YA PETER & SUZY ILIVYOBAMBA MOKANE HALL AT KIJICHI DAR SEPT 1 2018
Bibi Harusi, Suzy akimvisha pete ya ndoa mumewe Peter wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa la KKKT lililopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, Septemba 1 mwaka huu.Sherehe ya ilifanyika katika Ukumbi wa Mokane uliopo Kijichi. Mpiga picha wa kampuni ya Mafoto Media Hamis Msekwa akiwa kazini katika kuitendea haki sherehe hiyo Bi Harusi akipozi na Matron wake baada ya kumaliza kurembwa katika Saluni ya Natalia Saloon iliyopo Mwananyamala Dar Bi Harusi katika pozi Peter & Suzy katika pozi Bi haruzi akipozi na wasimamizi wake Bw.harusi akipozi na wasimamizi wake